"Pangilia tena simu ili ichaji kwa kasi" "Pangilia tena simu ili ichaji bila kutumia waya" "Kifaa cha Android TV kitazima hivi karibuni; bonyeza kitufe ili kisizime." "Kifaa kitazima hivi karibuni; bonyeza ili kisizime." "Hakuna SIM kadi katika kompyuta kibao." "Hakuna SIM kadi kwenye simu." "Misimbo ya PIN haifanani" "Umejaribu kufungua kompyuta kibao mara %1$d bila mafanikio. Ukikosea mara nyingine %2$d, kompyuta hii kibao itarejeshwa katika hali iliyotoka nayo kiwandani, hatua itakayofuta data yake yote." "Umejaribu kufungua simu mara %1$d bila mafanikio. Ukikosea mara nyingine %2$d, simu hii itarejeshwa katika hali iliyotoka nayo kiwandani, hatua itakayofuta data yake yote." "Umejaribu kufungua simu mara %d bila mafanikio. Kompyuta hii kibao itarejeshwa katika hali iliyotoka nayo kiwandani, hatua itakayofuta data yake yote." "Umejaribu kufungua simu mara %d bila mafanikio. Simu hii itarejeshwa katika hali iliyotoka nayo kiwandani, hatua itakayofuta data yake yote." "Umejaribu kufungua kompyuta kibao mara %1$d bila mafanikio. Ukikosea mara nyingine %2$d, mtumiaji huyu ataondolewa, hatua itakayofuta data yote ya mtumiaji." "Umejaribu kufungua simu mara %1$d bila mafanikio. Ukikosea mara nyingine %2$d, mtumiaji huyu ataondolewa, hatua itakayofuta data yote ya mtumiaji." "Umejaribu kufungua kompyuta kibao mara %d bila mafanikio. Mtumiaji huyu ataondolewa, hatua itakayofuta data yote ya mtumiaji." "Umejaribu kufungua simu mara %d bila mafanikio. Mtumiaji huyu ataondolewa, hatua itakayofuta data yote ya mtumiaji." "Umejaribu kufungua kompyuta kibao mara %1$d bila mafanikio. Ukikosea mara nyingine %2$d, wasifu wa kazini utaondolewa, hatua itakayofuta data yote ya wasifu." "Umejaribu kufungua simu mara %1$d bila mafanikio. Ukikosea mara nyingine %2$d, wasifu wa kazini utaondolewa, hatua itakayofuta data yote ya wasifu." "Umejaribu kufungua kompyuta kibao mara %d bila mafanikio. Wasifu wa kazini utaondolewa, hatua itakayofuta data yote ya wasifu." "Umejaribu kufungua simu mara %d bila mafanikio. Wasifu wa kazini utaondolewa, hatua itakayofuta data yote ya wasifu." "Umeweka mchoro usio sahihi wa kufungua skrini mara %1$d. Baada ya majaribio %2$d zaidi bila mafanikio, utaombwa ufungue kompyuta yako kibao kwa kutumia akaunti ya barua pepe.\n\n Jaribu tena baada ya sekunde %3$d." "Umeweka mchoro usio sahihi wa kufungua skrini mara %1$d. Ukikosea mara nyingine %2$d, utaombwa ufungue simu yako kwa kutumia akaunti ya barua pepe.\n\n Jaribu tena baada ya sekunde %3$d." "Fungua simu yako ili upate chaguo zaidi" "Fungua kompyuta yako kibao ili upate chaguo zaidi" "Fungua kifaa chako ili upate chaguo zaidi"