"Weka PIN yako"
"Weka mchoro wako"
"Weka nenosiri lako"
"Kadi si Sahihi."
"Betri imejaa"
"%s • Inachaji bila kutumia waya"
"%s • Inachaji"
"%s • Inachaji kwa kasi"
"%s • Inachaji pole pole"
"%s • Kuchaji kumedhibitiwa kwa muda"
"Bonyeza Menyu ili kufungua."
"Mtandao umefungwa"
"Hakuna SIM kadi"
"Weka SIM kadi."
"SIM kadi haiko au haisomeki. Weka SIM kadi."
"SIM kadi isiyotumika."
"SIM kadi yako imefungwa kabisa.\n Wasiliana na mtoa huduma za mtandao ili upate SIM kadi nyingine."
"SIM kadi imefungwa."
"SIM kadi imefungwa kwa PUK."
"Inafungua SIM kadi..."
"Eneo la PIN"
"Nenosiri la kifaa"
"Eneo la PIN ya SIM"
"Eneo la PUK ya SIM"
"Futa"
"Zima eSIM"
"Imeshindwa kuzima eSIM"
"Hitilafu imetokea wakati wa kuzima eSIM."
"Weka"
"Mchoro si sahihi"
"Nenosiri si sahihi"
"Nambari ya PIN si sahihi"
- Jaribu tena baada ya sekunde %d.
- Jaribu tena baada ya sekunde 1.
"Weka PIN ya SIM."
"Weka PIN ya SIM ya \"%1$s\"."
"%1$s Zima eSIM ili utumie kifaa bila huduma ya vifaa vya mkononi."
"SIM sasa imefungwa. Weka nambari ya PUK ili uendelee. Wasiliana na mtoa huduma za mtandao kwa maelezo."
"SIM ya \"%1$s\" sasa imezimwa. Weka nambari ya PUK ili uendelee. Wasiliana na mtoa huduma kwa maelezo."
"Weka nambari ya PIN unayopendelea"
"Thibitisha nambari ya PIN unayopendelea"
"Inafungua SIM kadi..."
"Andika PIN ya tarakimu 4 hadi 8."
"Nambari ya PUK inafaa kuwa na tarakimu 8 au zaidi."
"Umeandika vibaya PIN mara %1$d. \n\n Jaribu tena baada ya sekunde %2$d."
"Umeandika vibaya nenosiri lako mara %1$d. \n\n Jaribu tena baada ya sekunde %2$d."
"Umechora vibaya mchoro wako wa kufungua mara %1$d. \n\n Jaribu tena baada ya sekunde %2$d."
"Nambari ya PIN ya SIM si sahihi, sasa lazima uwasiliane na mtoa huduma za mtandao ndipo ufungue kifaa chako."
- Nambari ya PIN ya SIM si sahihi. Una nafasi zingine %d za kujaribu.
- Nambari ya PIN ya SIM si sahihi. Una nafasi zingine %d za kujaribu kabla ulazimike kuwasiliana na mtoa huduma wako ili akufungulie kifaa chako.
"SIM haiwezi kutumika. Wasiliana na mtoa huduma wako."
- Nambari ya PUK ya SIM si sahihi, bado unaweza kujaribu mara %d kabla ya SIM kuacha kutumika kabisa.
- Nambari ya PUK ya SIM si sahihi, bado unaweza kujaribu mara %d kabla ya SIM kuacha kutumika kabisa.
"Utendakazi wa PIN ya SIM haujafanikiwa!"
"Utendakazi wa PUK ya SIM haujafanikiwa!"
"Kubadili mbinu ya kuingiza data"
"Hali ya ndegeni"
"Unafaa kuchora mchoro baada ya kuwasha kifaa upya"
"Unafaa kuweka PIN baada ya kuwasha kifaa upya"
"Unafaa kuweka nenosiri baada ya kuwasha kifaa upya"
"Mchoro unahitajika ili kuongeza usalama"
"PIN inahitajika ili kuongeza usalama"
"Nenosiri linahitajika ili kuongeza usalama."
"Msimamizi amefunga kifaa"
"Umefunga kifaa mwenyewe"
"Haitambuliwi"
"Haitambuliwi"
"Ili utumie kipengele cha kufungua kwa uso, washa kipengele cha ""ufikiaji wa Kamera"" katika Mipangilio na Faragha"
- Weka PIN ya SIM. Zimesalia mara %d za kujaribu.
- Weka PIN ya SIM. Ukijaribu tena mara %d bila kufaulu, kifaa chako kitafungwa na utalazimika uwasiliane na mtoa huduma wako ili akifungue.
- Sasa SIM imefungwa. Weka msimbo wa PUK ili uendelee. Umesalia na majaribio %d kabla ya SIM kuacha kufanya kazi kabisa. Wasiliana na mtoa huduma kwa maelezo.
- Sasa SIM imefungwa. Weka msimbo wa PUK ili uendelee. Umesalia na jaribio %d kabla ya SIM kuacha kufanya kazi kabisa. Wasiliana na mtoa huduma kwa maelezo.
"Chaguomsingi"
"Kiputo"
"Analogi"