"Pangilia tena simu ili ichaji kwa kasi"
"Pangilia tena simu ili ichaji bila kutumia waya"
"Kifaa cha Android TV kitazima hivi karibuni; bonyeza kitufe ili kisizime."
"Kifaa kitazima hivi karibuni; bonyeza ili kisizime."
"Hakuna SIM kwenye kompyuta kibao."
"Hakuna SIM kwenye simu."
"Misimbo ya PIN haifanani"
"Umejaribu kufungua kompyuta kibao mara %1$d bila mafanikio. Ukikosea mara nyingine %2$d, kompyuta hii kibao itarejeshwa katika hali iliyotoka nayo kiwandani, hatua itakayofuta data yake yote."
"Umejaribu kufungua simu mara %1$d bila mafanikio. Ukikosea mara nyingine %2$d, simu hii itarejeshwa katika hali iliyotoka nayo kiwandani, hatua itakayofuta data yake yote."
"Umejaribu kufungua simu mara %d bila mafanikio. Kompyuta hii kibao itarejeshwa katika hali iliyotoka nayo kiwandani, hatua itakayofuta data yake yote."
"Umejaribu kufungua simu mara %d bila mafanikio. Simu hii itarejeshwa katika hali iliyotoka nayo kiwandani, hatua itakayofuta data yake yote."
"Umejaribu kufungua kompyuta kibao mara %1$d bila mafanikio. Ukikosea mara nyingine %2$d, mtumiaji huyu ataondolewa, hatua itakayofuta data yote ya mtumiaji."
"Umejaribu kufungua simu mara %1$d bila mafanikio. Ukikosea mara nyingine %2$d, mtumiaji huyu ataondolewa, hatua itakayofuta data yote ya mtumiaji."
"Umejaribu kufungua kompyuta kibao mara %d bila mafanikio. Mtumiaji huyu ataondolewa, hatua itakayofuta data yote ya mtumiaji."
"Umejaribu kufungua simu mara %d bila mafanikio. Mtumiaji huyu ataondolewa, hatua itakayofuta data yote ya mtumiaji."
"Umejaribu kufungua kompyuta kibao mara %1$d bila mafanikio. Ukikosea mara nyingine %2$d, wasifu wa kazini utaondolewa, hatua itakayofuta data yote ya wasifu."
"Umejaribu kufungua simu mara %1$d bila mafanikio. Ukikosea mara nyingine %2$d, wasifu wa kazini utaondolewa, hatua itakayofuta data yote ya wasifu."
"Umejaribu kufungua kompyuta kibao mara %d bila mafanikio. Wasifu wa kazini utaondolewa, hatua itakayofuta data yote ya wasifu."
"Umejaribu kufungua simu mara %d bila mafanikio. Wasifu wa kazini utaondolewa, hatua itakayofuta data yote ya wasifu."
"Umeweka mchoro usio sahihi wa kufungua skrini mara %1$d. Baada ya majaribio %2$d zaidi bila mafanikio, utaombwa ufungue kompyuta yako kibao kwa kutumia akaunti ya barua pepe.\n\n Jaribu tena baada ya sekunde %3$d."
"Umeweka mchoro usio sahihi wa kufungua skrini mara %1$d. Ukikosea mara nyingine %2$d, utaombwa ufungue simu yako kwa kutumia akaunti ya barua pepe.\n\n Jaribu tena baada ya sekunde %3$d."
"Simu imezimika kwa sababu ya joto"
"Kifaa kimezimika kwa sababu ya joto"
"Kishikwambi kimezimika kutokana na joto"
"Simu yako sasa inafanya kazi inavyostahili.\nGusa ili upate maelezo zaidi"
"Kifaa chako sasa kinafanya kazi inavyostahili.\nGusa ili upate maelezo zaidi"
"Kishikwambi chako sasa kinafanya kazi inavyostahili.\nGusa ili upate maelezo zaidi"
"Simu yako ilikuwa na joto jingi mno, kwa hivyo imezimika ili ipoe. Simu yako sasa inafanya kazi inavyostahili.\n\nHuenda simu yako ikawa na joto jingi mno:\n • Ukitumia programu zinazoendesha nyenzo nyingi (kama vile michezo ya video, video au programu za uelekezaji)\n • Ukipakua au ukipakia faili kubwa\n • Ukitumia simu mahali palipo na joto jingi"
"Kifaa chako kilikuwa na joto jingi mno, kwa hivyo kimezimika ili kipoe. Kifaa chako sasa kinafanya kazi inavyostahili.\n\nHuenda kifaa chako kikawa na joto jingi mno:\n • Ukitumia programu zinazoendesha nyenzo nyingi (kama vile michezo ya video, video au programu za uelekezaji)\n • Ukipakua au ukipakia faili kubwa\n • Ukitumia kifaa mahali palipo na joto jingi"
"Kishikwambi chako kilikuwa na joto jingi mno, kwa hivyo kimezimika ili kipoe. Kishikwambi chako sasa kinafanya kazi inavyostahili.\n\nHuenda kishikwambi chako kikawa na joto jingi mno:\n • Ukitumia programu zinazoendesha nyenzo nyingi (kama vile michezo ya video, video au programu za uelekezaji)\n • Ukipakua au ukipakia faili kubwa\n • Ukitumia kishikwambi mahali palipo na joto jingi"
"Simu inapata joto"
"Kifaa kinapata joto"
"Kishikwambi kinapata joto"
"Huenda usiweze kutumia baadhi ya vipengele wakati simu inapoa.\nGusa ili upate maelezo zaidi"
"Huenda usiweze kutumia baadhi ya vipengele wakati kifaa kinapoa.\nGusa ili upate maelezo zaidi"
"Huenda usiweze kutumia baadhi ya vipengele wakati kishikwambi kinapoa.\nGusa ili upate maelezo zaidi"
"Simu yako itajaribu kupoa kiotomatiki. Bado unaweza kutumia simu yako, lakini huenda ikafanya kazi polepole.\n\nSimu yako ikipoa, itaendelea kufanya kazi inavyostahili."
"Kifaa chako kitajaribu kupoa kiotomatiki. Bado unaweza kutumia kifaa chako, lakini huenda kikafanya kazi polepole.\n\nKifaa chako kikipoa, kitaendelea kufanya kazi inavyostahili."
"Kishikwambi chako kitajaribu kupoa kiotomatiki. Bado unaweza kutumia kishikwambi chako, lakini huenda kikafanya kazi polepole.\n\nKishikwambi chako kikipoa, kitaendelea kufanya kazi inavyostahili."
"Kitambuzi cha alama ya kidole kinapatikana kwenye kitufe cha kuwasha/kuzima. Ni kitufe bapa pembeni pa kitufe cha sauti kilichoinuka kwenye ukingo wa kompyuta kibao."
"Kitambuzi cha alama ya kidole kinapatikana kwenye kitufe cha kuwasha/kuzima. Ni kitufe bapa pembeni pa kitufe cha sauti kilichoinuka kwenye ukingo wa kifaa."
"Kitambuzi cha alama ya kidole kinapatikana kwenye kitufe cha kuwasha/kuzima. Ni kitufe bapa pembeni pa kitufe cha sauti kilichoinuka kwenye ukingo wa simu."
"Fungua simu yako ili upate chaguo zaidi"
"Fungua kompyuta yako kibao ili upate chaguo zaidi"
"Fungua kifaa chako ili upate chaguo zaidi"
"Inacheza kwenye simu hii"
"Inacheza kwenye kompyuta hii kibao"